Ametoa pongezi hizo alipokuwa akiwatambulisha baadhi madaktari walioshiriki utoaji huduma ya kuwapima afya wabunge na watumishi wa bunge katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Februari 18, 2022.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri za Muungano, Dkt Tulia Ackson ameipongeza Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa kwa utoaji wa huduma nzuri kwa viongozi na wananchi kwa ujumla.
Imeandaliwa na richard mwaikenda Mhariri Blog za Taifa ya CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇