Afisa wa Polisi mkoani Kigoma (kushoto) akizungumza na Mahujaji wa Kanisa Halisi la Mungu Baba baada ya mahujaji hao kuwasili kwa treni kwenye stesheni ya reli ya Kati mjini Kigoma jana usiku.
Maelfu ya Mahujaji hao baada ya kuwasili kwenye srtesheni ya Reli ya Kati mjini Kigoma
Kuhani Ushindi (kulia) baada ya kumpokea Kuhani Moja (wapili kulia),kwenye Stesheni ya Reli ya Kati Mjini Kigoma, Kuhani Moja ndiye alikuwa Mkuu wa Msafara kutoka Jijini Dar es Salaam.
Mwanzo wa safari kutoka Dar👇
Kuhani Moja na baadhi ya makuhani wa Dawati la Hija wakielekea kwenye mabehewa jijini Dar es Salaam juzi.
Mahujaji wa Kanisa Halisi walipanda kwenye mabehewa jijini Dar es Salaam.
Mahujaji wa Kanisa Halisi wakipanda katika mabehewaMahujaji wakipanda kwenye mabehewa ya treni jijini Dar es Salaam.Makuhani wa Dawati la Hija wakiwa tayari kwenye behewa kutoka Jijini Dar es Salaam
Uzao akiwa na mtoto wake katika behewa wakati wa safari hoyo.
Uzao ambao ni majuhaji wakiwa kwenye basi, baada ya kupanda mahujaji wote kuhamishwa kutoka kwenye treni na kupandishwa kwenye mabasi baada ya treni kufika Morogoro na kushindwa kuendelea na safari kutokana na sehemu moja kati ya Morogoro na Dodoma kujaa maji ya mvua.
Uzao ambao ni majuhaji wakiwa kwenye basi, baada ya kupanda mahujaji wote kuhamishwa kutoka kwenye treni na kupandishwa kwenye mabasi baada ya treni kufika Morogoro na kushindwa kuendelea na safari kutokana na sehemu moja kati ya Morogoro na Dodoma kujaa maji ya mvua.m
Mahujaji wakiwa kwenye treni kutoka Dodoma kwenda Kigoma
Uzao wakiwa kwenye treniUzao wakiwa kwenye treniUzao ambaye ni Hujaji akifanya uzalishaji wa kuuza mavazi kwenye treni.
Uzao wakiwa kwenye treniUzao wakiwa kwenye treni muda mfupi kabla ya kuwasili mjini Kigoma jana usiku.
Uzao wakiwa kwenye treni muda mfupi kabla ya kuwasili mjini Kigoma jana usiku.
©2022 CCM Blog/Bashir Nkoromo
Heri tuliobalikiwa na chanzo halisi
ReplyDeleteHeri heri uzao na kuhani halisi wa mungu baba mbarikiwa kubarikiwa kwa damu safi na nyeupe imekwisha kua kubwa mno
ReplyDeleteMungu BABA akubariki sana kwa kuweka habari ii ili wengine ambayo hatukwenda kwenye hija tuweze kuona kilichojiri uko
ReplyDelete