LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 15, 2022

RAIS SAMIA AWASILI UBELGIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Watanzania mbalimbali Wanaoishi nchini Brussels Ubelgiji mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Ufaransa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi pamoja na kuhudhuria Mikutano mbalimbali ya Kimataifa leo tarehe 14 Februari, 2022.


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages