Mbunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba katika kipindi cha maswali na majibu bungeni, ameibana Serikali kwa kuta ieleze ni lini ujenzi wa minara 9 itajengwa katika maeneo yenye changamoto ya mawasiliano katika jimbo hilo. Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Ndaisaba akiihoji Serikali kuhusu m,inara hiyo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇