Akijibu maswali bungeni, Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema kuwa serikali ina mpango wa kuyatumia Maziwa Makuu nchini kutatua changamoto ya maji kwa kuwa chanzo cha maji kuyavuta na kuyapeleka maeneo yenye uhaba wa maji.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Naibu Waziri Mahundi akielezea mpango mkakati huo wa serikali.....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇