Ukurasa wa kwanza wa gazeti la Zanzibar Leo la leo Jumapili, Februari 13, 2020 ambao upo katika muonekano mpya wa gazeti hilo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi
akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa muonekano mpya wa Gazeti la Zanzibar Leo wakati wa sherehe ya kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea
kuanzishwa kwake, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki nje ya
Jiji la Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanzilishi wa Gazeti la Zanzibar Leo Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume katika sherehe ya kutimia miaka 20 ya gazeti hilo, katika
ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika
sherehe ya kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa
kwake, katika ukumbi Hoteli ya Golden Tulipl Kiembesamaki nje ya Jiji la
Zanzibar, jana jioni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi
zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ali Haji Mwadini katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea
kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya
Jiji la Zanzibar(katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo
Mhe.Tabia Maulid Mwita na Dkt. Ali Mwinyikai muanzilishi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Cheti aliyekuwa mjumbe wa bodi Bw.Said Salim katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea
kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya
Jiji la Zanzibar (katikati) Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo
Mhe.Tabia Maulid MwitaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea
zawadi kutoka kwa Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid
Mwita katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti la Zanzibar leo tokea kuanzishwa kwake katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la ZanzibarRais Mstaafu wa Zanzibar
Dk. Amani Abeid Karume ambaye ni muanzilishi wa Gazeti la Zanzibar Leo
akiangalia muonekeno mpya wa gazeti hilo baada ya uzinduzi
uliofanywa na Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika
sherehe ya kutimia miaka 20 ilizofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki nje ya Jiji la ZanzibaBaadhi ya Waalikwa na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar.
Baadhi ya Waalikwa na wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar leo wakiwa katika sherehe za kutimia miaka 20 ya gazeti hilo tokea kuanzishwa kwake zilizofanyika katika ukumbi Golden Tulip Hotel Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar
Your Ad Spot
Feb 13, 2022
Home
featured
Zanzibar
GAZETI LA ZANZIBAR LEO LATIMIZA MIAKA 20, RAIS DK. MWINYI AZINDUA MUONEKANO WAKE MPYA
GAZETI LA ZANZIBAR LEO LATIMIZA MIAKA 20, RAIS DK. MWINYI AZINDUA MUONEKANO WAKE MPYA
Tags
featured#
Zanzibar#
Share This
About CCM Blog
Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇