Mbunge wa Nanyamba, Abdallah Chikota ameishauri serikali kutoa kibali cha ajira ya walimu na watumishi wa afya ili kupunguza upungufu mkubwa uliopo katika sekta hizo.
Chikota ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia taarifa ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii katika kikao cha Bunge kilichofanyika bungeni Dodoma Februari 10, 2022.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203 Your Ad Spot
Feb 11, 2022
Home
Elimu
featured
CHIKOTA: SERIKALI TOENI VIBALI MAALUMU VYA AJIRA ZA WALIMU, WATUMISHI WA AFYA+video
CHIKOTA: SERIKALI TOENI VIBALI MAALUMU VYA AJIRA ZA WALIMU, WATUMISHI WA AFYA+video
Tags
Elimu#
featured#
Share This
About Author CCM Blog
featured
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇