Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amesema kuwa mwaka huu wameandikishwa wanafunzi zaidi ya milioni 3.8 watakaojiunga shule ya Awali, Msingi na kidato cha kwanza, hivyo kwa mara ya kwanza hakutakuwa na chaguo la pili wala la tatu kama ilivyozoeleka miaka ya nyuma.
Waziri Ummy ameyaeleza haya alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi ndogo ya Tamisemi, Magogoni, Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na darasa la awali, la kwanza na kidato cha kwanza 2022.Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri kwenye mkutano huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇