Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliochukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muunga wa Tanzania hadi leo Januari 14, wamefikia 66.
Idadi hiyo imetangazwa na Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Oganaizesheni CCM Taifa, Solomoni Itunda (pichani) mbele ya vyombo vya habari katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Solomoni Itunda akitangaza majina hayo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇