LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 31, 2022

WABUNGE CCM WAMPITISHA KWA KAULI MOJA DKT TULIA KUGOMBEA USPIKA+video


Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Ndugu Maudline Castiko,  akimtambulisha Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa Kamati ya wabunge wa CCM waliopmbigia kura kwa kauli moja kuwa mgombea usipika kupitia chama hicho.
Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitangaza matokeo baada  ya wabunge hao kumpigia kura.
Katibu wa Kamati ya wabunge wa CCM, Rashid Shangazi akielezea utaratibu wa kupiga kura.


Dkt Tulia Ackson akijitambulisha kwa wabunge


Wabunge wakiwa katika kikao cha kumpitisha Dkt Tulia kuwa  mgombea uspika wa Bunge kupitia CCM.

















 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Tulia Ackson akitangazwa na Mwenyekiti wa Kamati ya wabunge wa CCM, Waziri Mkuu, Majaliwa  kugombea uspika na yeye  akitoa shukrani..... 

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages