MWAKA MPYA na CHANZO KIPYA CHA MAJI - Vijiji vya Bukumi, Buraga na Busekera vimeanza kutumia Maji SAFI & SALAMA baada ya Mradi wao wa Maji kukamilika.
RUWASA inaendelea kutekeleza kwa mafanikio makubwa MIRADI ya USAMBAZAJI MAJI vijijini ambapo kwa mujibu wa Meneja wa RUWASA Musoma Vijijini, Edward Silonga amesema kuwa hadi sasa vijiji 36 wananchi wanapata maji.
WASIKILIZE ("CLIP" ya hapa) WANAVIJIJI na VIONGOZI wao wakitoa SHUKRANI zao za dhati kwa SERIKALI yao.
MAJI NI UHAI
MAJI NI UCHUMI
MAJI NI MAENDELEO
Taarifa kutoka:
*Ofisi ya RUWASA
Musoma DC
*Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
1.1.2022
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇