RATIBA YA MSIBA WA JOHN ANDREA MASONDORE
TAREHE.
24 JANUARI, 2022 MUDA TUKIO WAHUSIKA 12:00 – 12:30 asubuhi Sala za asubuhi Wote 12:30
1:30 asubuhi Chai Wote 6:00 – 7:30 mchana Chakula cha mchana Wote 8:00 – 8:30 mchana
Msafara kutoka nyumbani kuelekea kanisani - Segerea Wote 8:45 -
mchana Mwili wa marehemu kuwasili kanisani- Segerea Familia 9:00 – 10:30 alasiri Ibada Wote 10:30 –10:35 jioni
Wasifu wa marehemu Restituta Masondore
10:35- 10:40 jioni
Eulogy ya marehemu Julieth Nyangeta Masondore
10:40-10:50 jioni Salamu kutoka vikundi
mbalimbali
Vikundi vilivyoandikishwa
10:50 – 10:55 jioni
Neno la shukrani kutoka kwa familia Familia 10:55-11:30 jioni Kuaga mwili wa marehemu Wote 11:30 -12:00 jioni
Msafara kutoka kanisani kuelekea nyumbani - Kinyerezi Wote 12.30 jioni – 2:00 usiku Chakula wote 2.
TAREHE 25 JANUARI, 2022 MUDA TUKIO WAHUSIKA 11:00 Wasafiri wa mabasi kuanza safari Dar es Salaam kuelekea Ukara Waliojiandikisha 12:30 –1:00 asubuhi Sala za asubuhi Wote 1:00 – 2:00 asubuhi chai Wote 6:00 – 7:00 mchana Chakula cha mchana Wote 7:00 mchana Msafara kuelekea Airport wote.
TAREHE 26 JANUARI, 2022 MUDA TUKIO WAHUSIKA 1:30 asubuhi Mwili wa Marehemu kuwasili Mwanza Walio ambatana na mwili wa marehemu 3:00 asubuhi
Msafara wenye mwili wa
marehemu kuanza safari ya
kuelekea Ukara
Walioambatana na mwili wa
marehemu
12:00 jioni Mwili wa marehemu kuwasili
nyumbani Ukara - Bukiko
Walioambatana na mwili wa
marehemu
1:00 – 2:00 usiku Chakula cha usiku Wote
2:15 – 3:15 usiku Sala ya usiku Wote
3:15 hadi 12:00 asubuhi Mkesha wa maombolezo wote
TAREHE 27 JANUARI, 2022 MUDA TUKIO WAHUSIKA 12:00 – 12:30 asubuhi Ibada ya asubuhi Wote 1:00 – 2:00 asubuhi Chai Wote 2:05 – 3:00 asubuhi Heshima za mwisho Wote 4:00 – 8:00 mchana Misa na mazishi Wote 8:30 – 10:00 jioni Chakula Wote 11:00 jioni na kuendelea Matanga ndugu Wanafamilia na majirani.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇