LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 11, 2022

MBUNGE WA BUSOKELO, MWAKIBETE AAPISHWA KUWA NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha  Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete kuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi tarehe 10 Januari, 2022 katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Mwakibete akitia saini baada ya kuapa.
Akiondoka kwenda kukaa baada ya kuapishwa.


Mwakibete na mawaziri wengine wakila kiapo cha maadili.
Mwakibete akitia saini katika kiapo cha maadili.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages