Jan 14, 2022

MAIGE: NIMEJITOKEZA KUGOMBEA USPIKA KUMUUNGA MKONO RAIS NA NCHI YANGU+video

 

Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kuomba nafasi ya Uspika katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Januari 13,2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages