Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro leo Januari 21 akiwavalisha nishani maofisa , wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali waliotunukiwa nishani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma.
Mdau endelea kuona kupitia clip hii ya video, IGP Sirro akiwavalisha nishani askari hao.....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇