LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 6, 2022

KATIBU MKUU WA CCM ATHIBITISHA KUPOKEA BARUA YA KUJIUZULU KWA SPIKA NDUGAI




Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel G Chongolo leo tarehe 06 Januari, 2022 amethibitisha kupokea barua ya Mhe. Job Yustino Ndugai (Mb) ya kujiuzuru nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katibu Mkuu ameeleza kuwa mchakato wa kumpata Spika mwingine baada ya nafasi hiyo kubaki wazi unaendelea.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages