Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es Salaam kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha Mwanakombo Bakari Ngayama, dada yake, Mama Salma Kikwete (kushoto), leo Disemba 23, 2021. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Disemba 24, 2021 Pongwe Tanga. Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇