Nawaomba Tusherehekee Sikukuu ya Noeli na kuelekea Mwaka Mpya 2022 kwa Amani na kuzidi kuwaomba Wananchi wote kupima COVID-19 na pia nawaomba tuchukue Tahadhari ya Ugonjwa huo wa COVID-19.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Mziwanda Chimwege wakati wa Mamilioni ya Wakristo wanatarajia kusherehekea kesho Sikukuu hiyo ya Noeli na mwaka mpya wa 2022.
Alisema Chimwege kwa njia ya Simu Desemba 23, 2021 akiwa safarini; anafaham nikipindi cha kujumuika na Familia zao na kupeana zawadi hivyo TUGHE Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbi kwa kushirikiana na Uongozi wa Hospitali hiyo.
Inawatakia Wanachama wote na Wafanyakazi wote wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Heri ya Sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya wa 2022.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇