Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , George Simbachawene akitangaza mbele ya vyombo vya habari leo jijini Dodoma kuwa, silaha haramu 228 zimesalimishwa kwa hiari na wananchi katika mikoa mbalimbali nchini.
Msamaha huo wa mwezi mmoja kwa wananchi kuruhusiwa kusalimiasha silaha kwa hiari ulitangazwa Oktoba 31, 2021, umemalizika Novemba 30, ambapo Waziri Simbachawene ametangaza operesheni ya kuwasaka watu wote wanaomiliki silaha isivyo halali na kuwachukulia hatua kali za kisheriaBaadhi ya makamanda wakiwa katika mkutano huo
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Simbachawene akitangaza idadi hiyo ya silaha zilizosalimishwa kwa hiari na kuanza kuwasaka wanaomiliki silaha isivyo halali...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇