LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 13, 2021

RAIS SAMIA ASHUHUDIA UWEKAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA KAMPUNI NNE ZA UCHIMBAJI MADINI NCHINI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia makabidhiano ya Hati mara baada ya tukio la kusaini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya utiaji Saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni 4 za Uchimbaji wa Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba 2021 (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages