LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 14, 2021

RAIS SAMIA AONDOKA JIJINI DAR ES SALAAM KWENDA MAKAO MAKUU YA NCHI JIJINI DODOMA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameondoka Jijini Dar es Salaam, Samia Suluhu Hassan, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala, kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, kwenda Makao Makuu ya Nchi Jijini Dodoma  leo Desemba 14, 2021. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages