LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 27, 2021

MUSOMA VIJIJINI YAHIDHIRISHA KUWA HAZINA YA MICHEZO NA BURUDANI+video

Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara linaongozwa na Mbunge mahiri Profesa Sospeter Muhongo ambaye yuko mstari wa mbele kuhamasisha wananchi kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo bila kusahau michezo na burudani za kila aina zikiwemo ngoma za utamaduni na kupiga makasia.


Mwaka huu imekuwa bahati mbaya mashindano ya burudani hizo yameahirishwa kutokana na uwepo wa janga la  COVID-19.


Timu ya Mpira ya Wasaga ya Kijiji cha Kasoma, Kata Nyamrandirira ilikaribia sana kufuzu kucheza MPIRA LIGI YA KWANZA


Mdau,tafadhali sikiliza/angalia "VIDEO CLIPS"  za baadhi burudani zitolewazo jimboni humo.

Ofisi ya Mbunge

Jimbo la Musoma Vijijini

www.musomavijijini.or.tz


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages