Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri (aliyevaa fulana ya bluu) na Diwani wa Kata ya Msalato (aliyevaa fulana ya njano) wakionja nyama choma ya mbuzi wakati wa Tamasha la Nyama Choma Msalato Desemba 11, 2021 jijini Dodoma.
Na Richard Mwaikenda, Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haina sababu ya kuufunga Mnada wa Msalato bali inatarajia kuuboresha zaidi hadi kufikia hadhi ya Kimataifa.
Ametoa tamko hilo alipokuwa akihutubia wakati wa Tamasha la Nyama Choma Msalato na kupata malalamiko kuwa ulizuka uvumi kuwa Mnada huo utafungwa.
Jaji Mkuu wa Shindano la Nyama Choma, akitangaza mshindi kuwa ni Jobu Akida ambaye alipatiwa zawadi ya sh. 100,000.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri akimkabidhi mshindi Jobu Akida zawadi ya sh. 100,000 Mshindi wa Tamasha la Nyama Choma,
Mambo ya nyama choma yakiendelea katika mnada huo maarufu wa Msalato.
Nyama mbichi ikiuzwa
Majaji wakijadiliana jambo kabla ya kumtangaza mshindi.
Magari yakiwa yameegeshwa na baadhi ya wateja
Kiongozi wa wauza nyama akisoma risala. Kulia ni Diwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku.
Mkuu wa Wilaya akihutubia wakati wa Tamasha hilo.
Mkuu wa Wilaya, Shekimweri akionja nyama.
Diwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku (aliyevaa fulana ya njano) akishuhudia mpambano wa watani wa jadi Yanga na Simba katika moja ya screen zilizowekwa eneo hilo la mnada.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue yaliyojiri kwenye tamasha hilo....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇