, Mgeni rasmi ni Mhe, Deo Mwanyika Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, akiwa katika maandamano ya mahafali hayo yaliyotanguliwa na Ibada iliyoongozwa na Mhashamu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania KKKT Dayosisi ya Kusini Dkt, George Mark Fihavango, Disemba 16/2021. Mahafali hayo yamefanyika eneo la Nyakamtwe mjini Njombe. kilipo Chuo cha Amani[
Mbunge Mwanyika akiwa na baadhi ya viongozi wakati wa mahafali hayo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇