LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 20, 2021

KATA YA ETARO, MUSOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI KUPATIWA SH. MIL. 60 UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA

Wanakijiji wa Kata ya Etaro, Jimbo la Musoma Vijijini wameishukuru  Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwapatia sh. milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vipya 3 vya madarasa katika Shule ya Sekondari Etaro.













 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages