LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 9, 2021

BONANZA LA TGGA LA KUELIMISHA MADHARA YA UNYWAJI POMBE ULIOKITHIRI LAFANA DODOMA+video


Afisa Maendeleo ya Vijana Mwandamizi Mkoa wa Dodoma, Tumsifu Mwasamale akihutubia wakati wa Bonanza la kutoa elimu juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya pombe lililoandaliwa na Chama cha Skauti wa Kike Tanzania (Tanzania Girl Guides Association,TGGA) jijini Dodoma leo Desemba 9, 2021.

Mratibu wa Miradi wa TGGA Makao Makuu, Valentina Gonza akitoa taarifa ya mafanikio za utoaji wa elimu hiyo katika baadhi ya Kata jijini Dodoma.


Kamishna Mafunzo Taifa wa TGGA, Dkt Helga Mutasingwa akitambulishwa wakati wa bonanza hilo

Mkufunzi wa Mkoa wa Vijana, Mariamu Mateleka akitambulishwa
Baadhi ya Girl Guides kutoka shule mbalimbali jijini Dodoma
Baadhi ya walimu kutoka shule ambazo wanafunzi  ambao ni Girl Guides wameshiriki katika bonanza hilo.


Mgeni rasmi katika Bonanza hilo, Tumsifu Mwasamale akikabidhiwa zawadi.
Mwasamale akifurahia zawadi ya fulana yenye ujumbe wa  kutoa elimu ya kuacha unywaji pombe  uliokithiri 
Mgeni rasmi, Mwasamale akiwa katika picha na viongozi wa TGGA pamoja na vijana wa GIRL GUIDES



Mgeni rasmi, Mwasamale akiondoka huku akisindikizwa na viongozi
Girl Guides wakiimba shairi lenye maudhui ya kuonya unywaji pombe uliokithiri

Mwenyekiti wa TGGA Mkoa wa Dodoma, Dina Mndasha akihitimisha Bonanza hilo.

Ni wakati wa kupata maakuli


 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue yaliyojiri wakati wa Bonanza hilo.....



IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages