LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 23, 2021

WAZIRI MHAGAMA: 2018 NILIPIGA MARUFUKU MAWAKALA WA AJIRA ISIYO RASMI NJE YA NCHI+video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Novemba 23, 2021, kuhusu changamoto na mafanikio kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Baadhi ya maofisa wa Wizara hiyo wakiwa makini kufuatilia Waziri Mhagama akizungumzia mafanikio hayo.


Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa makini kufuatilia alichokuwa akikizungumza Waziri Mhagama na baadaye kuruhusiwa kuuliza maswali.


Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa (kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa taasisi, Idara mbalimbali zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.


 Waziri Mhagama akiondoka baada ya kumalizika kwa mkutano huo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mhagama alivyopiga marufuku mawakala feki wa kuwatafutia ajira vijana nje ya nchi....

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages