LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 2, 2021

WAZIRI MCHENGERWA: TAIFA LIMETOA MACHOZI NA JASHO HADI KUFIKIA HAPA TULIPO+video



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rias, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Novemba 2,2021, kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu Tanzania Bara ilipopata Uhuru Desemba 1961.

Wanahabari wakiwa katika mkutano na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rias, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa




PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mchengerwa akielezea mafanikio hayo....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages