LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 9, 2021

WAZIRI GWAJIMA AANIKA MAFANIKIO LUKUKI SEKTA YA AFYA+video

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, J
insia, Wazee na Watoto, Dkt Doroth Gwajima ameelezea mafanikio makubwa ambayo yamepatikana katika Sekta ya Afya tangu Tanzania ilipopata Uhuru Desemba 9, 1961

Waziri Gwajima ameeleya mafanikio hayo wakati wa mkutano na waandishi wa habari, jijini Dodoma Novemba 8, 2021 wa kuelezea Mafanikio, changamoto, na mwelekeo katika sekta ya afya kuanzia Tanzania Bara ilipopata Uhuru hadi sasa..

Wanahabari wakisikiliza kwa makini wakati Waziri Gwajima akieleyea mafanikio hayo.







PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Gwajima akielezea mafanikio hayo, lakini pia usome taarifa iliyopo hapo chini.....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Tauifa ya CCM
0754264203



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages