LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 27, 2021

UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA NGORONGORO


Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi, Mlezi wa Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Ndg. Shaka Hamdu Shaka Leo Amezindua Rasmi Kampeni za Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ngorongoro na Kumnadi mgombea Ubunge jimbo la Ngoro Ngoro kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai 

Aidha Ndg. Shaka aliongozana na viongozi mbalimbali wa Chama kutoka Makao Makuu ya CCM Taifa wakiongozwa na Katibu wa Nec, Idara ya Organaizeshen Dkt. Maudline Castico Uwanja wa Malambo, Kata ya Malambo, Tarafa ya Sale







 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages