LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 6, 2021

SPIKA NDUGAI AUNGANA NA MBUNGE MWANYIKA KUTAKA MIGODI YA LIGANGA, MCHUCHUMA IANZE HARAKA+video


Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika akichangia hoja bungeni Dodoma Novemba 5,2021, kuhusu mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2022/2023, ambapo pamoja na mambo mengine ameishauri serikali kumaliza haraka majadiliano ya muda mrefu na wawekezaji ili migodi ya makaa ya mawe na chuma ya Liganga na Mchuchuma mkoani Njombe, uwekezaji uanze haraka  ili Taifa lianze kupata faida, jambo ambalo pia limeunga mkono na Spika wa Bunge, Job Ndugai.

 Spika wa Bunge, Job Ndugai akiunga mkono hoja ya Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika kwa kutaka majadiliano hayo ya muda mrefu baina ya Serikali na wawekezaji yafikie tamati ili migodi hiyo ianze haraka.


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Spika Ndugai na Mwanyika wakizungumzia suala hilo.......

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages