LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2021

MAMA SALMA AWAPAMBANIA WANANCHI MCHINGA KUPATA MAWASILIANO+video

 Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete amewapambania wananchi wa jimbo lake la Mchinga maeneo ambayohadi sasa hayajapata mawasiliano ya simu, ambapo ameihoji Serikali kwamba ni lini watapeleka minara ili mawasiliano yapatikane....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages