Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Muleba Elias Kayandabila, alipokagua maendeleo ya ujenzi wa shule ya Sekondari Bukama Kata ya Kagoma ambapo vijana zaidi ya 90 wa wilaya ya Muleba wameweka kambi na kujitolea katika kazi za kimaendeleo.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akimkabidhi cheti Revely Reonady wa Kambi la Vijana wa kujitolea katika ujenzi wa shule ya Sekondari Bukama Kata ya Kagoma kutambua mchango wa Vijana hao katika shughuli za kimaendeleo ambapo vijana zaidi ya 90 wa wilaya ya Muleba huweka kambi na kujitolea katika kazi za kimaendeleo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) mara baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kishara-Mafumbo ikiwa sehemu ya ziara ya Kukagua, Kusimamia na Kuhamasisha utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa shina namba 9 Tawi la Buhaya kwa Balozi Methodis Shekanabo, Kata ya Kagoma Wilayani Muleba Mkoani Kagera ikiwa sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. (Picha zote na CCM Makao Makuu)
Your Ad Spot
Nov 15, 2021
Home
featured
siasa
KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AKAGUA UJENZI WA SHULE BUKAMA, MULEBA MKOANI KAGERA, LEO
KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AKAGUA UJENZI WA SHULE BUKAMA, MULEBA MKOANI KAGERA, LEO
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇