Kilele cha mashindano hayo ambayo mdhamini mkuu ni Benki ya CRDB, kinafanyika leo ambapo kwa upande wa wanaume timu zilizoingia fainali ni Dar es Salaam na Arusha na Wanawake ni Dar es Salaam na Unguja. Fainali ya wanawake inaanza saa 11 jioni na upande wa wanaume watapepetana kuanzia saa 1 usiku.
Mgeni rasmi atakuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi.
Mtanange ukiendelea
Wachezaji wa timu ya Unguja wakishangilia kiaina baada kufuzu fainali kwa kuibwaga timu ya Mkoa wa Tanga katika mchezo wa nusu fainali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (wa pili kushoto waliokaa meza kuu) akishuhudia pambano la mpira wa kikapu wanawake kati ya Unguja na mkoa wa Tanga. Unguja walishinda na kuingia fainali.Nsekela akisalimiana na mmoja wa wapenzi wa mpira wa kikapu.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kuona mpambano wa nusu fainali Unguja na Tanga...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇