LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 23, 2021

CHONGOLO AFANYA KIKAO CHA MAJUMUISHO ZIARA YA KIKAZI TABORA



 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Viongozi wa Chama na Serikali kwenye mkutano wa majumuisho ya ziara yake uliofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwana Kiyungi, Tabora.

Katika ziara hiyo Katibu Mkuu aliongozana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages