LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2021

WAZIRI GWAJIMA ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 36 LA KISAYANSI NA MKUTANO MKUU WA MWAKA


Na Khamisi Miharo.

 Chama cha Wataalam wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania (TDA) kitanaraji kufanya Kongamano la 36 la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa Mwaka  wa Chama hicho ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Afya Dkt. Doroth Gwajima 


ambapo hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Dkt. Gustav Rwekaza (Pichani hayupo) wakati alipokuwa akizungumza na Wanahabari katika Ofisi ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam Oktoba 29, 2021.


Aidha Alisema  Mkutano huo unategemea kukutanisha Wataalam  wa Afya ya kinywa na meno kutoka ndani na Nje ya nchi, ambapo watapokea taarifa, tafiti mbalimbali za kisayansi na  kujadili mambo mbalimbali ikiwemo afya ya kinywa na Meno katika mkutadha wa UVIKO- 19,


Mkutano huo unategemea  kuanza Novemba 24-26, 2021 katika Ukumbi wa Julius Nyerere Intenation Convention Center  (JNICC) Jijini Dar es Salaam Tanzania.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages