LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 18, 2021

SEKTA YA HABARI YAKABIDHIWA RASMI WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI+video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt  Hassan Abbas  akimkabidhi jarida la Nchi Yetu Tanzania  ikiwa ni moja ya ishara ya kukabidhi  Sekta ya Habari kwa  Katibu Mkuu wa Wizara mpya ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Zainab Chaula katika hafla iliyofanyika Idara ya Habari Maelezo jijini Dodoma leo Oktoba 18, 2021.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt  Hassan Abbas  akimkabidhi nyenzo ya sekta ya habari ikiwa ni moja ya ishara ya kukabidhi  rasmi Sekta  hiyo kwa  Katibu Mkuu wa Wizara mpya ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Zainab Chaula katika hafla iliyofanyika Idara ya Habari Maelezo jijini Dodoma leo Oktoba 18, 2021.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akisema neno la utangulizi kabla ya makabidhiano hayo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Chaula akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano hayo.
Baadhi ya wanahabari waliohudhuria makabidhiano hayo.

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau. nakuomba uendelee kusikilia/kuona kupitia clip hii ya video yaliyozungumzwa na pande hizo mbili wakati wa hafla ya makabidhiano hayo......

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages