LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 19, 2021

MAALUM YA CCM ZANZIBAR AFISI KUU YA CCM KISIWANDUI

 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Bi. Lela Burhani Ngozi, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 18-10-2021

WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, wakipitia makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein

 

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages