Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemed Suleiman Abdulla(wakwanza kushoto)akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar Ghanima Othman Juma wakati alipotembelea Banda lao katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Kitope Mkoa wa Kaskazini B Unguja.Ambapo Ujumbe wa mwaka huu ni “Matumizi sahihi ya kidigitali kwa Ustawi wa Rika Zote”
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemed Suleiman Abdulla akiwapungia Mkono Wazee na Wageni waalikwa waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Kitope Mkoa wa Kaskazini B Unguja.Ambapo Ujumbe wa mwaka huu ni “Matumizi sahihi ya kidigitali kwa Ustawi wa Rika Zote”.
Baadhi ya Wazee na Wageni waalikwa waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Kitope Mkoa wa Kaskazini B Unguja.Ambapo Ujumbe wa mwaka huu ni “Matumizi sahihi ya kidigitali kwa Ustawi wa Rika Zote”.
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliofanyika Kitope Mkoa wa Kaskazini B Unguja.Ambapo Ujumbe wa mwaka huu ni “Matumizi sahihi ya kidigitali kwa Ustawi wa Rika Zote”.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇