LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 11, 2021

KATIBU MKUU, PROF. MAKUBI ATINGA KANISANI KUHAMASISHA WAUMINI KUPATA CHANJO+video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Profesa Abel Makubi  akihamasisha waumini kujitokeza kuchanja chanjo ya UVIKO 19 katika Kanisa la Romani Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma.

Waumini wakitoka katika kanisa hilo.
Kanisa la Romani Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma.
Muumini wa kanisa hilo, Arnold Misana kutoka eneo la Kilimani,  akitia saini kwenye fomu  kukubali kupata chanjo.
Misana akipatiwa chanjo na Muuguzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Deokara Mchungwa katika kituo cha chanjo kanisani hapo.
Misana akipatiwa cheti baada ya kuchanjwa.


 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kuona/kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue jinsi Katibu Mkuu, Profesa Makubi alivyohamasisha  kanisani hapo.....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages