LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 19, 2021

ASKOFU CHANDE: WANAOVURUGA AMANI YA NCHI TUWAOGOPE KAMA UKOMA+video



 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dodoma, Askofu Dkt Evance Chande akihubiri amani wakati wa ibada maalumu ya kuiombea miradi iliyotangazwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 jijini Dodoma.

Askofu Dkt Chande amefanya mahubiri hayo ya kuwataka watanzania kudumishaa amani katika ibada maalumu iliyofanyika hivi karibuni katika Kanisa lake lililopo Ipagala, jijijini Dodoma.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Askofu Dkt Chande akihubiri kwa kusisitiza wananchi kudumisha amani.....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages