LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 22, 2021

NAIBU KATIBU MKUU CCM MNDEME ATEMBELEA KIWANDA CHA MSD NJOMBE


 Naibu Katibu Mkuu wa CCM ( Bara) Ndugu Christina Mndeme akisalimia wananchi (hawapo pichani) mara baada ya kutembelea mradi wa kiwanda cha MSD kilichopo Idofi, kata ya Mlowa mkoani Njombe ikiwa sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo Septemba 21, 2021.(Picha na CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages