Ikulu, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar Mtumwa Khatib Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu jijini Dar es Salaam Jaffar Haniu saa 7 usiku wa kuamkia leo Agosti 5, 2021, imesema amesema Uteuzi huo umeanza jana 04 Agosti, 2021 ambayo ndiyo uteuzi wake ulifanyika.
Rais Samia Suluhu Hassan
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇