![]() |
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba
na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akisaini kitabu cha Salamu za
Rambirambi za aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Elias Kwandikwa leo tarehe 8
Agosti 2021 kijijini Butibu katika halmashauri ya Ushetu . 
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba
na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na Mjane wa
marehemu Elias Kwandikwa Bi. Meryciana Kwandikwa kijijini Butibu katika
halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga leo tarehe 8 Agosti mkoani
Shinyanga2021. 
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimpa pole Mjane wa marehemu Bi. Meryciana Kwandikwa kijijini Butibu katika halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga leo tarehe 8 Agosti 2021.

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇