LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 26, 2021

KAMATI YAAMURU MBUNGE SILAA AKAMATWE AFIKISHWE BUNGENI

                                             Jerry Silaa


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari bungeni Dodoma leo Agosti  26, 2021, ambapo ameamuru kukamatwa kwa Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa  na kufikishwa kwenye kamati kesho asubuhi saa 4 kujibu tuhuma za  kulivunjia hadhi na heshima Bunge. Silaa alitakiwa leo afike kwenye kamati hiyo lakini hakufika na kwamba hakutoa taarifa yoyote. Kulia ni Maria Mdulugu Katibu wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka 


ya Bunge.

PICHA NA RICHARD MWAIKENDA


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages