LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 19, 2021

POLEPOLE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Humphrey Polepole akiongoza kikao cha kamati hiyo bungeni Dodoma leo Agosti 19, 2021.

Sehemu ya wajumbe wa kamati hiyo wakiwa kwenye kikao hicho.




Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages