LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 9, 2021

BONANZA LA MICHEZO KWA WATOTO LAFANA SHULE YA FEZA DAR




 Wanafunzi wa Shule ya Awali Feza wakishindana mbio za mita 50 kwenye Bonanza lililoandaliwa na Shule hiyo lengo ni kuwajenga kiafya watoto hao. Mashindano hayo yaliyoandaliwa  na wazazi na viongozi walioshiriki pia kuwahamasisha, yalifanyika katika viwanja vya shule ya kimataifa Feza jijini Dar es salaam.   

PICHA NA ASHRACK MIRAJI

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages