LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 19, 2021

KUMI WAFARIKI NA WANANE KUJERUHIWA BAADA YA GARI LA JWTZ KUGONGANA NA LORI GEITA

 
   Watu 10 wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa kwenye ajali iliyotokea  jana Kijiji cha Ilalwe kata ya Bukombe mkoani Geita iliyohusisha  Gari la jeshi la wananchi na gari aina ya Scania T130 DRZ lililokuwa limebeba mzigo likitokea Dar es Salaam kuelekea nchini Rwanda.

Akizungumzia tukio hilo, Mkuu wa wilaya ya Bukombe, Said Nkumba amesema majeruhi 6 wamepelekwa katika Hospitali ya Ushirombo na wawili wapo kituo cha afya Masumbwe wakiendelea kupatiwa matibabu huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa hakijafahamika

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages