LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 3, 2021

SHAKA ATEMBELEA RADIO NA MAGAZETI YA UHURU, AZUNGUMZA NA WATUMISHI NA KUPAMBANA NA KERO LUKUKI.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitazama gazeti la kwanza la Uhuru, lililochapishwa mwaka 1961, alipotembelea Maktaba Kuu ya Magazeti na Machapisho mengine ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo na uhai wa vyombo vya Habari vya CCM vilivypo chini ya Kampuni ya Uhuru Media Group (UMG), Jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa UMG Ernest Sungura na Kulia ni Mhariri Mtendaji wa UMG Ramadhani Mkoma na Mkurugenzi wa UMG upande wa Magazeti Ramadhani Mbwaduke.
Mkurugenzi Mkuu wa UMG Ernest Sungura akimkaribisha Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka alipowasili kuanza ziara kwenye vyombo hivyo vya habari vya CCM, leo.
Sungura akimtambulisha Shaka kwa Baadhi ya viongozi wa UMG alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam kuanza ziara hiyo kwa kutembelea kituo cha Radio cha Uhuru fm.
Sungura akimuongoza Shaka kwenda kwenye Ofisi za Uhuru fm, katika jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, leo.
Shaka akiwasalimia baadhi ya Watumishi wa Uhuru fm wakati akienda kwenye ofisi za kituo hicho cha Radio ya CCM, leo.
Shaka akisaini kitabu cha Wageni baada ya kuingia katika Ofisi za Uhuru fm. Kulia ni Mkurugenzi wa Uhuru fm Abdallah Hussein
Shaka akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhuru fm Abdallah Hussein (kushoto), kwenye chumba kinachotayarishwa kuwa Studio ya kisasa ya radio hiyo.
Shaka akiwa katika chumba cha matangazo cha Uhuru fm akiwa katika ziara hiyo.
Shaka akiwa na viongozi wa UMG kwenye chumba hicho cha matangazo cha Uhuru fm aliyepo mitamboni ni Mtangazaji Paul Sigori.
Shaka akihojiwa na Mtangazaji Paul Sigori alipokuwa katika Studio za Uhuru fm wakati wa ziara hiyo.
Mtangazaji wa Uhuru fm akiendelea na matangazo baada ya Shaka na Msafara wake kuondoka katika Studio hiyo saa 6:30 mchana.
Shaka akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Uhuru Digital Mwanzo Milinga, aliookuwa katika ziara hiyo, Uhuru fm
Shaka akiwa nje ya Ofisi za Uhuru fm baada ya kumaliza kutembekea Kituo hicho cha Radio ya CCM. Pamoja naye ni Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Zakary Mwansasu (Kulia) na Ernest Sungura (Wapili kushoto).
Shaka akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa UMG Ernest Sungura kwenda kwenye Ofisi za Magazeti ya CCM ya Uhuru, Mzalendo na Burudani baada ya Kutoka Uhuru fm.
Shaka akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa UMG Ernest Sungura na baadhi ya Viongozi wa UMG kwenda kwenye Ofisi za Magazeti ya CCM ya Uhuru, Mzalendo na Burudani baada ya Kutoka Uhuru fm.

Shaka akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa UMG Ernest Sungura na baadhi ya Viongozi wa UMG kwenda kwenye Ofisi za Magazeti ya CCM ya Uhuru, Mzalendo na Burudani baada ya Kutoka Uhuru fm.
Shaka akitazama bidhaa mbalimbali za CCM zinazouzwa katika duka la UMG alipofika kwenye Ofisi za Magazeti ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam akiwa katika ziara hiyo. Nyuma yake ni Mkurugenzi Mkuu wa UMG Ernest Sungura na baadhi ya Viongozi wa UMG.
Shaka akiendekea kutazama bidhaa mbalimbali za CCM zinazouzwa katika duka la UMG alipofika kwenye Ofisi za Magazeti ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam akiwa katika ziara hiyo
Shaka akiwa tayari kwenye Ofisi za Magazeti ya CCM huku Sungura akimweleza jambo.
Shaka akisaini Kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkurugenzi wa UMG upande wa Magazeti ya CCM Ramadhani Mbwaduke (kushoto) baada ya kuingia katika ofisi hiyo. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa UMG Ernest Sungura.
Shaka akimsikiliza Mbwaduke wakati akipewa maelezo kuhusu Magazeti yachapishwayo na UMG.
Shaka akiyatazama magazeti yachapishwayo na UMG
Shaka akilitazama vema gazeti la Uhuru ya Kijani ambalo huchapishwa na UMG kwa ajili ya habari maalum za CCM
Shaka akiwa katika Chumba cha habarri cha magszeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Magazeti ya CCM wakiwa kazini
Shaka akitazama utayarishaji wa magazeti kwenye kitengo cha graphics cha Magazeti hayo. Anayemuonyesha ni mtaalam wa graphics Rhoda Shayo.
Shaka akipata maelezo ya kina kutoka kwa mtaalam wa Graphics Roda Shayo.
Shaka akitoka kwenye chumba cha graphics
Shaka akitazama nakala ya gazeti la kwanza la Uhuru alipofika katika Maktaba ya Magazeti ya CCM
Shaka akipata naekezo kutoka kwa Mkutubi Mkuu Mussa Salmini (kushoto), kuhusu mafanikio na changamoto za Maktaba hiyo.

Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka👇
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watangazaji wa Uhuru fm Sigori Paul na Ndungumalo wakifurahia jambo wakati wao na watumishi wengine wa UMG wakimsumbiri Shaka ukumbini.
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka. Huyu ni Mtumishi wa Magazeti Jane Mihanji akifurahia jambo.
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka
Watumishi mbalimbali wa UMG wakiwa ukumbini kuzungumza na Shaka.
Shaka akiwasili ukumbini.
Shaka akiwa na baadhi ya Viongozi baada ya kuwadili ukumbini. Kushoto ni Mjumbe wa NEC Angel Akilimali na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa UMG Ernest Sungura ambaye naye pia ni Mjumbe wa NEC
Ernest Sungura akitoa naneno ya Utangulizi kwene kikao hicho cha Shaka na Watumishi wa UMG

Ranadhani Mbwaduke wa Magazeti ya Chama na Abdallah Hussein wa Uhuru fm wakiwa ukumbini.

Mkurugenzi wa UMG upade wa Magazeti Ramadhani Mbwaduke akieleza mwenendo wa shughuli za magazeti ya Chama. Ametaja mafanikio kadhaa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa mtambo wa kuchapa nagazeti na mitendea kazi ikiwemo Kamera.
Mkurugenzi wa UMG upande wa Uhuru fm Abdallah Hussein akieleza mwenendo wa utendaji kazi wa kituo hicho ikiwemo changamoto mbalimbali na mafanikio ikiwemo ya kuwa na studio ya kisasa hivi karibuni.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya  Taifa (NEC) ya CCM Shaka Hamdu Shaka, akizungumza na Watumishi wa Magazeti na Uhuru fm katika Ukumbi wa ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.

Shaka amesema mkakati uliopo sasa ni kuviimarisha vyombo vyote vya habari vya Chama na kushughulikia kwa haraka  changamoto mbalimbali zinazokwamisha ufanisi wa kazi katika vyombo hivyo. 

"Lengo na dhamira ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha vyombo vya habari vya CCM vinaimarika zaidi na kufikia malengo yake katika kuhabarisha umma kuhusu mambo mbalimbali ya ujenzi wa Taifa", amesema Shaka.

Kabla ya kufika Uhuru na Magazeti Shaka alitangulia kufanya zuara hiyo Channel Ten, Channel Ten Plus, Magic Fm na Classic FM, ambavyo pia ni vyombo vya habari vya CCM

Picha zote na Bashir Nkoromo/ Msimamizi Mkuu wa Blog ya Taifa ya CCM.

©CCM Blog 201
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages