LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2021

SHAKA AFIKA KUTOA POLE NYUMBANI KWA MJANE ALIYEFIWA NA MUMEWE KADA WA CCM, MWAKALELI MKOANI MBEYA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akimpa pole Tumpale Kilasi kwa msiba wa Mume wake aliyekuwa Kada wa CCM Asifiwe Brown Mwanjisi aliyefariki dunia jana Mwakaleli Kandete, Busokelo wilaya ya Rungwe. Shaka alifika kutoa pole akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo na Sekretarieti ya CCM mkoani Mbeya leo Julai 12, 2021

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages